Ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu 217 walioshiriki
katika Kitendawili cha Kolonia Santita (KKS) tangu kilipotangazwa hapo Julai 8,
2013. Jibu la KKS limetangazwa leo tarehe 8/1/2014 saa nane kamili mchana;
lakini kwa bahati mbaya hakuna Enomania hata mmoja aliyepata jibu, katika
kiwango kilichotakiwa na masharti ya kitendawili, yaani kuanzia asilimia 90
mpaka asilimia 100. Wengi wamepata kuanzia asilimia 85 na kurudi chini mpaka
asilimia 10. Huu ndiyo mwisho wa Kitendawili cha Kolonia Santita. Falsafa za
Kolonia Santita zitaendelea mpaka mwaka 2015.
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...
Thanx Enock, nimeridhika na matokeo hope tutapata kitendawili kingine kana hicho in the future
ReplyDelete