Friday, 2 May 2014

Mercury

Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ya matumizi ya John Murphy pekee, ndilo alilotumia Murphy na mpenzi wake Sophia (na dada yake Joanna) kwenda Silver Sands Hotel mjini Dar; lakini starehe yao ikakatishwa na simu ya Kamishna wa Kanda ya Afrika ya Kusini ya Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya, Profesa Justin Mafuru.

http://www.enockmaregesi.com

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...