Monday, 8 July 2013

Kitendawili 2


KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA

Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo

Swali:

Kila namba kati ya namba zifuatazo ina maana kubwa katika kitabu cha Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi, kuanzia na jalada la mbele. Tegua (kokotoa) kitendawili cha Kolonia Santita.

Msimbo:

35 - 12 - 4 - 2 - 88

Anuani:

enockmaregesi@yahoo.com 

Tuma jibu lako kwa faragha kupitia anuani ya enockmaregesi@yahoo.com hapo juu

Mshindi kupatikana tarehe 8/1/2014 – siku 184 kuanzia leo tarehe 8/7/2013.

http://www.enockmaregesi.com/2013/07/08/kitendawili-2/


 12 comments:

 1. Kila neno lililoandikwa katika jalada la mbele la KOLONIA SANTITA limeandikwa kwa umakini wa hali ya juu (mno), pamoja na nukta na nafasi miongoni mwa maneno hayo. Msimbo wa Kolonia Santita umejikita ndani ya maneno hayo na kusambaa kimantiki, kutoka katika jalada la mbele mpaka la nyuma la kitabu cha KOLONIA SANTITA. Dan Brown – mwandishi wa vitabu wa Marekani – aliwahi kutoa kitendawili kama hiki katika kitabu chake cha DIGITAL FORTRESS, lakini hiki ni tofauti (kabisa) na hakina uhusiano wowote na hicho cha Bw. Brown, kinachoitwa 'The Digital Fortress Riddle'. Namba 35 imetoka wapi inamaanisha nini? Namba 12 imetoka wapi inamaanisha nini? Namba 4 imetoka wapi inamaanisha nini? Namba 2 imetoka wapi inamaanisha nini? Namba 88 (mbali na 88 ya alama ya Kolonia Santita ya 'biohazard') imetoka wapi inamaanisha nini? Kwa kutumia kanuni ya kawaida ya sayansi ya namba ya magazijuto, tafuta kanuni ('formula') ya Msimbo ('code') wa Kolonia Santita.

  ReplyDelete
 2. Nimetuma jibu langu enockmaregesi@yahoo.com, nijibu tafadhali kama nimekosea.

  ReplyDelete
 3. Hongera sana Enock Maregesi kwa kumudu kukaa na hicho kitu (kitendawili) kwa muda mrefu na kukidesign so professionally. Will always be a fan!

  ReplyDelete
 4. Asante, David Mwakayumba. Nimeliona. Kufuatana na masharti ya Kitendawili cha Kolonia Santita, hata hivyo, sitakuwa kwenye nafasi nzuri kujadiri chochote kuhusu majibu (mpaka baada ya miezi sita).

  ReplyDelete
 5. Hongera sana kk yangu maregesi, jibu langu nimeshalituma.

  ReplyDelete
 6. Hongera sana Enock Maregesi.

  ReplyDelete
 7. Why visitors still make use of to read news papers when in this technological world all is presented on web?


  My weblog :: วิเคราะห์บอล

  ReplyDelete
 8. Wow! Іn thhe end Ι gott a blog from wjere I be ablke to reallү take
  valuable fɑcts гegarding my study and knowledge.

  Hеre is my weblog :: cambogia garcinia reviews

  ReplyDelete
 9. Nօrmally I do not read ardticle on blоgs, but I wiѕh
  to say that thiѕ ѡrite-up νery compelled me to check out and do
  so! Your wrіtiոg style has been amazed me. Thank you,
  quite nic article.

  Here is my web page ... maκe raρ beats on line for ()

  ReplyDelete
 10. Hеy! This is kijnd of off topic but I neеd some advice frlm
  an established blog.Is it tough to set up your own blog?
  I'm not very techincal but I can figurе thungs out pretty fast.

  I'm thinкiոg about creating my oѡn but I'm not sure
  where to stɑrt. Do you have any ideas or suggestions?
  Cheers

  Allso visit myy blog post - ԁrum appliance; ,

  ReplyDelete

Swali la Tatizo ni Jibu la Tatizo

273. Jibu la tatizo hupatikana baada ya kujua swali la tatizo. Swali la tatizo ni jibu la tatizo. Si jibu la matokeo ya tatizo. Kama ta...