Monday, 5 May 2014

Santita

83. Kolonia Santita ina sura 8 na kila sura ina faslu 3.

http://www.facebook.com/kolonisantita

3 comments:

  1. Kolonia Santita ina jumla ya sura 8 na faslu 24. 24 + 8 = 32 ambao ndiyo umri wa kuzaliwa wa John Murphy.

    ReplyDelete
  2. Kitabu cha KOLONIA SANTITA kina jumla ya sura nane na faslu ishirini na nne. Ishirini na nne jumulisha nane ni sawasawa na thelathini na mbili, ambao ndiyo umri wa kuzaliwa wa John Murphy.

    ReplyDelete
  3. Faslu maana yake ni 'sub-chapter'.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...