Friday, 10 January 2014

Mwanasesere wa Nyoka

Mwanasesere wa Nyoka,
Debbie na Lisa walitoa mchango mkubwa katika vita ya Tume ya Dunia na Kolonia Santita, lakini bila Mwanasesere wa Nyoka John Murphy angeuwawa na Kolonia Santita wangeishinda Tume ya Dunia.

http://www.enockmaregesi.com

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...