Wednesday, 8 January 2014

KKS

Ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu 217 walioshiriki katika Kitendawili cha Kolonia Santita (KKS) tangu kilipotangazwa hapo Julai 8, 2013. Jibu la KKS limetangazwa leo tarehe 8/1/2014 saa nane kamili mchana; lakini kwa bahati mbaya hakuna Enomania hata mmoja aliyepata jibu, katika kiwango kilichotakiwa na masharti ya kitendawili, yaani kuanzia asilimia 90 mpaka asilimia 100. Wengi wamepata kuanzia asilimia 85 na kurudi chini mpaka asilimia 10. Huu ndiyo mwisho wa Kitendawili cha Kolonia Santita. Falsafa za Kolonia Santita zitaendelea mpaka mwaka 2015.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Thanx Enock, nimeridhika na matokeo hope tutapata kitendawili kingine kana hicho in the future

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...