Monday, 19 January 2015

Heshima

120. Wakati mwingine tukitaka kutambulika hatuna budi kuweka mbele aibu ya heshima yetu.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com 

2 comments:

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...