Tuesday 14 November 2017

Mwanasesere wa Nyoka wa Lisa Graciano

Mwanasesere wa nyoka wa Lisa Graciano, rafiki kipenzi wa Debbie, aliyeokoa maisha ya John Murphy huko Xochimilco (‘Sochimiliko’) – Mexico City.

Debbie na Lisa walitoa mchango mkubwa katika vita ya Tume ya Dunia na Kolonia Santita huko Meksiko; lakini bila Mwanasesere wa Nyoka John Murphy angeuwawa, na Kolonia Santita wangeishinda Tume ya Dunia.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...