212. Pombe haina adabu. Ukilewa unakuwa mtoto tena.
Kidini kufananishwa na mtoto ni sifa nzuri kwani ufalme wa mbinguni ni kwa ajili ya watu kama wao. Lakini kidunia si!
Ukiitwa mtoto kidini ina maana una imani na unyenyekevu mbele ya Mungu,
kama ambavyo mtoto ana imani na unyenyekevu mbele ya mzazi wake. Lakini
ukiitwa mtoto kidunia watu watakudharau.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...

Tafakari.
ReplyDelete