Ndumilakuwili ni nyoka mwenye vichwa viwili. Ukimkurupusha anakimbia mbele. Ukimkurupusha tena anakimbia mbele. 
 
 Hatupaswi kuwa kama ndumilakuwili kihasi, isipokuwa tunapaswa kuwa kama
 ndumilakuwili kichanya. Tusiwe wadhabidhabina wala tusiwe watu wenye 
tabia za kikauleni, watu wenye tabia za kutokutumainika, tuwe na moyo wa
 kutokukata tamaa. 
 
 Kitu kikishindikana katika maisha yako 
kamwe usikate tamaa kwa sababu kushindwa ni mama wa mafanikio na kukata 
tamaa ni mama wa kushindwa. 
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

Popote atakapokimbilia ndumilakuwili ni mbele! Hatupaswi kukata tamaa tunapojihisi kukata tamaa! Tunapaswa kukimbilia mbele!
ReplyDelete