Ndumilakuwili ni nyoka mwenye vichwa viwili. Ukimkurupusha anakimbia mbele. Ukimkurupusha tena anakimbia mbele.
Hatupaswi kuwa kama ndumilakuwili kihasi, isipokuwa tunapaswa kuwa kama
ndumilakuwili kichanya. Tusiwe wadhabidhabina wala tusiwe watu wenye
tabia za kikauleni, watu wenye tabia za kutokutumainika, tuwe na moyo wa
kutokukata tamaa.
Kitu kikishindikana katika maisha yako
kamwe usikate tamaa kwa sababu kushindwa ni mama wa mafanikio na kukata
tamaa ni mama wa kushindwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...

Popote atakapokimbilia ndumilakuwili ni mbele! Hatupaswi kukata tamaa tunapojihisi kukata tamaa! Tunapaswa kukimbilia mbele!
ReplyDelete