Ukitaka
kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza.
Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika
dunia.
Dhana ya ‘dunia ni kijiji kimoja’ ni dhana murua ijapokuwa inaweza kuwa na matatizo yake hali kadhalika! Popote ulipo ndipo dunia yako ilipo. Hivyo, ukipabadilisha hapo (au ukibadilikia hapo) umebadilisha dunia (au umeleta mabadiliko katika dunia).

Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia – mabadiliko chanya. Ukibadilika ukawa mbaya katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia – mabadiliko hasi.
ReplyDelete