Saturday, 17 December 2016
Halafa Hailipi
Halafa maana yake ni uhalifu. Kwa hiyo uhalifu haulipi. Utakamatwa.
Utapelekwa jela au utalipa faini au utapelekwa jela na utalipa faini.
Katika nchi zilizoendelea (kwa mfano Uingereza) matukio ya kipolisi
hupewa kipaumbele kikubwa katika vyombo vya habari kwa makusudi kabisa,
kwa ajili ya kuwakumbusha watu kuwa halafa hailipi. Kufanya kosa huku
ukijua ni kosa ni kujiombea jela mwenyewe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
44. Kama mwanadamu una haki ya msingi kuwa na amani katika maisha. http//www.facebook.com/koloniasantita

“Siku za mwizi ni arobaini,” wahenga walisema.
ReplyDelete