Friday, 16 December 2016
Kisichokuua Hukufanya Mpiganaji
Tunapaswa kujisikia furaha kuu tunapokumbana na majaribu mbalimbali 
katika maisha yetu, tukijua kwamba kujaribiwa kwa imani yetu hutufanya 
wavumilivu na wapiganaji katika jina la Yesu, na tunapaswa kuruhusu 
uvumilivu katika maisha yetu kwa sababu Mungu hutumia uvumilivu huo 
kutukomaza na kutukamilisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

“Yakobo, mtumwa wa Mungu, na wa Bwana Yesu Kristo, kwa kabila kumi na mbili waliotawanyika; salamu. Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali; mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi. Saburi na iwe na kazi kamilifu, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu bila kupungukiwa na neno.” –Yakobo 1:1-4
ReplyDelete