Saturday, 17 December 2016

Halafa Hailipi

Halafa maana yake ni uhalifu. Kwa hiyo uhalifu haulipi. Utakamatwa. Utapelekwa jela au utalipa faini au utapelekwa jela na utalipa faini. Katika nchi zilizoendelea (kwa mfano Uingereza) matukio ya kipolisi hupewa kipaumbele kikubwa katika vyombo vya habari kwa makusudi kabisa, kwa ajili ya kuwakumbusha watu kuwa halafa hailipi. Kufanya kosa huku ukijua ni kosa ni kujiombea jela mwenyewe.

1 comment:

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...