Sunday, 13 November 2016

Kinywaji cha Radia Hosni

 Kwa vile Radia Hosni hakutumia pombe kutokana na maadili ya imani yake ya dini ya Kiislamu, alitumia badala yake kinywaji kisicho na kilevi cha limau na sukari cha ‘lemonade’ alipokuwa Mexico City na Copenhagen; wakati wenzake wakitumia pombe za kawaida na pombe kali kama ‘Sabor Grants’ ya Skandinavia na ‘Vodka’ ya Urusi, ijapokuwa alilazimishwa na wenzake kutumia ‘aquavit’ na kahawa walipokuwa Copenhagen nyumbani kwa Frederik Mogens.

1 comment:

  1. Kinywaji cha Radia Hosni, mpelelezi wa Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya (WODEC), kutoka Tunisia, alipokuwa Mexico City na Copenhagen.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...