Friday, 4 November 2016
Bibi
Leo ni siku ya kumbukumbu ya giza lililoingia katika familia ya Enock 
Maregesi. Tarehe 4/11/14 ni siku nuru ya mwanga wa maisha ya nyanya 
yangu mpenzi Bi Martha Maregesi ilipozimika huko Musoma. Leo ni miaka 
miwili ametimiza akiwa kimya kabisa! Sikisikii tena kicheko chake wala 
siisikii tena hekima yake! Familia yake inamkumbuka sana. Palipokuwa 
kwake ni nyumbani kwetu. Hatuwezi kusahau upendo wake na umuhimu wake 
kwetu. Tulimpenda sana, lakini Mungu wa mbinguni alimpenda zaidi. 
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

Amina.
ReplyDelete