Badilisha tabia. Badilisha mazingira ya maisha yako. Haijalishi una umri
kiasi gani au wewe ni mwanamke au mwanamume, bado hujachelewa kubadili
maisha yako kutoka duni kuwa bora – kuwa na amani, furaha na kuridhika.
Kama desturi yako ni kuamka saa 12:00 asubuhi kila siku ili ufike kazini
saa 2:00 asubuhi ambao ni muda wa serikali wa kuanza kazi, amka saa
11:30 asubuhi ili ufike kazini saa 1:30 asubuhi – nusu saa kabla ya
kuanza kazi. Kama unafanya kazi ya taaluma uliyosomea lakini maisha
hayaendi, fikiria kubadili mwelekeo wa maisha ikiwemo taaluma kufikia
malengo uliyojiwekea.
https://enockmaregesi.wordpress.com/badilisha/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
Uwanja wa Ndege wa Copenhagen-Roskilde: uliotumiwa na Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa pamoja – kilometa tisa kutoka katika Kanisa ...

Usipobadilisha maisha yako maisha yako yatakubadilisha. HBD Badilisha!
ReplyDeleteMtu kufikia takdiri (/destiny/) yake lazima abadilishe maisha yake! Lazima! Bila hivyo, maisha yake yatambadilisha; kuwa mtu ambaye Shetani anataka awe, na si yule ambaye Mungu anataka awe.
ReplyDeleteUsipobadilisha maisha yako kuelekea kwenye takdiri yako utaishi kama Shetani anavyotaka, si kama Mungu anavyotaka.
ReplyDelete