Monday, 22 February 2016

Sema Nami

                  

1 comment:

  1. Nikihojiwa na gwiji la uandishi wa habari la Kenya Profesa Ken Walibora katika Hoteli ya Serena Nairobi kwa ajili ya vyombo vya habari vya magazeti, redio na televisheni vya NMG vya Afrika Mashariki. Mahojiano hayo yalirushwa tarehe 17/02/2016 na televisheni ya QTV ya Kenya katika kipindi cha Ken Walibora cha SEMA NAMI.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...