Monday, 22 February 2016

QTV

Nikihojiwa na Profesa Ken Walibora katika kipindi cha Sema Nami cha televisheni ya QTV ya Kenya.

Sema Nami: Mahojiano na Enock Maregesi mshindi wa Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Kiafrika.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...