Friday, 26 December 2014

Bissau

Bissau, mji maarufu katika bara la Afrika, kitovu kikuu cha biashara ya madawa ya kulevya katika bara la Ulaya.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com

1 comment:

  1. Jiji maarufu katika bara la Afrika na kitovu kikuu cha usafirishaji wa madawa ya kulevya katika bara la Ulaya, Bissau, makao makuu ya CS-Bissau (Tawi la Kolonia Santita la Ginebisau na nchi zote za Afrika ya Magharibi na Kaskazini isipokuwa Moroko, ambayo iko katika kanda ya Ulaya), linaloongozwa na jambazi sugu wa Ginebisau Aregado Midana.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...