Monday, 29 December 2014

Madawa ya Kulevya

117. Kujua ukweli juu ya uraibu wa madawa ya kulevya kunaweza kumsaidia mtu kujua madhara ya madawa ya kulevya.

http://www.facebook.com/koloniasantita 

3 comments:

  1. Ili kupambana na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya katika jamii ya Tanzania, ni muhimu kutoa elimu kwa Watanzania juu ya madhara yanayoambatana na matumizi ya madawa hayo. Tusipambane na madawa ya kulevya peke yake. Tupambane na elimu ya madawa ya kulevya pia.

    ReplyDelete
  2. Uraibu wa pombe na madawa ya kulevya unaharibu maisha ya watu na jamii kwa jumla.

    ReplyDelete
  3. Ukitumia vibaya madawa ya kulevya yataathiri maisha yako. Yataathiri familia yako. Yataathiri jamii inayokuzunguka. Yataathiri uchumi wa nchi. Ukibwia unga leo halafu kesho ukashindwa kwenda kazini kwa sababu ya madhara ya unga uliyobwia, muda umefika wa kuacha unga.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...