Bissau, mji maarufu katika bara la Afrika, kitovu kikuu cha biashara ya madawa ya kulevya katika bara la Ulaya.
http://www.enockmaregesi.wordpress.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...

Jiji maarufu katika bara la Afrika na kitovu kikuu cha usafirishaji wa madawa ya kulevya katika bara la Ulaya, Bissau, makao makuu ya CS-Bissau (Tawi la Kolonia Santita la Ginebisau na nchi zote za Afrika ya Magharibi na Kaskazini isipokuwa Moroko, ambayo iko katika kanda ya Ulaya), linaloongozwa na jambazi sugu wa Ginebisau Aregado Midana.
ReplyDelete