Mapazia ya dhahabu ya Taffeta kutoka Italia, katika chumba cha Mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego, pamoja na samani za Gianni Versace na mapambo ya Frida Kahlo, ni miongoni mwa vitu vilivyomfurahisha John Murphy katika Nyumba ya Debbie katika Ikulu ya Meksiko ya Los Pinos.
http://www.enockmaregesi.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

Chumba cha kulala cha Debbie Patrocinio kilikuwa na thamani ya dola za Kimarekani milioni moja. Kilikuwa na samani za wabunifu wa kimataifa. Kilikuwa na jumla ya vyumba vinne! Kilikuwa na kitanda kikubwa cha hadhi ya kifalme, makochi ya kumeremeta, kompyuta, zulia nene jipya jeupe, mapazia ya dhahabu ya Taffeta, kofia ya taa ya dhahabu (‘chandelier’, ‘shandalia’) ya Baccarat na vitu vingine vingi.
ReplyDeleteMapazia ya Debbie ya Taffeta yaliondolewa ikulu, baba yake Debbie alipomaliza muda wake kama Rais wa Meksiko mwaka 1994.
ReplyDeleteVitu vyote vya ndani ya Nyumba ya Debbie vilikuwa vya Debbie, alivyonunuliwa na wazazi wake. Samani zote zilizokuwemo kabla baba yake Debbie hajawa Rais, mwaka 1988, ziliondolewa kwa ajili ya Debbie.
ReplyDeleteMapazia ya dhahabu ya Taffeta yanapatikana mpaka leo hii. Ya Debbie, hata hivyo, yalishabadilishwa.
ReplyDelete