Monday, 15 September 2014

Wataalamu

102. Hutaweza kufikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu – Hata kama una kipaji au ujuzi kiasi gani.

http://www.facebook.com/koloniasantita

4 comments:

  1. No matter how skilled or talented you are, you will never reach your full potential without expert guidance.

    ReplyDelete
  2. Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.

    ReplyDelete
  3. Ukiwa na kipaji nenda shule kurekebisha kipaji chako, ukiwa na ujuzi nenda shule kurekebisha ujuzi wako.

    ReplyDelete
  4. For the talent to mature and reach its true potential, you need the 10000 hours of work.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...