Monday, 8 September 2014

Gwaride

101. Katika nyuma geuka ya gwaride, wa kwanza anakuwa wa mwisho, wa mwisho anakuwa wa kwanza. Geuka, ukifika mwisho wa njia. Huo ndiyo mwanzo wa njia nyingine.

http://www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Kitu kikishindikana katika maisha yako kamwe usikate tamaa kwa sababu, kushindwa ni mama wa mafanikio na kukata tamaa ni mama wa kushindwa.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...