101. Katika nyuma geuka ya gwaride, wa kwanza anakuwa wa mwisho, wa mwisho anakuwa wa kwanza. Geuka, ukifika mwisho wa njia. Huo ndiyo mwanzo wa njia nyingine.
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Heroini, Heroini safi isiyokuwa na doa. Biashara kuu ya pili ya Kolonia Santita baada ya kokeini, iliyomfanya Panthera Tigrisi awe taji...

Kitu kikishindikana katika maisha yako kamwe usikate tamaa kwa sababu, kushindwa ni mama wa mafanikio na kukata tamaa ni mama wa kushindwa.
ReplyDeleteUsikate tamaa, kabisa!
ReplyDelete