Thursday, 3 July 2014

Ua

Ua la waridi lilichangia kwa kiasi kikubwa kudumisha uhusiano wa kimapenzi, baina ya Marciano Moreno Herrera na Mtoto wa Rais Debbie Patrocinio Abrego. Aidha, bila ua la waridi, John Murphy asingempata Debbie Patrocinio.

http://www.enockmaregesi.com

1 comment:

  1. Marciano Moreno Herrera, kabla hajauwawa na wanajeshi wa Kolonia Santita wa autodefensa, alikuwa na utaratibu kila siku wa kumtumia maua ya waridi mchumba wake Debbie Patrocinio Abrego popote alipokuwa; tangu Debbie na familia yake walipohamia Mexico City kutokea Durango, ambako baba yake alikuwa kada mashuhuri wa chama cha kisiasa cha PRI. Debbie alimpenda Marciano kwa sababu ya waridi! Kwa sababu ya waridi alimpenda Murphy hali kadhalika.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...