Monday, 7 July 2014

Alama

92. Acha alama katika dunia baada ya kuondoka.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Kuacha alama katika dunia ni kufanya vitu vikubwa katika maisha yako vitakavyoleta hamasa kwa watu wengine kabla na baada ya wewe kuondoka.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...