Friday, 11 July 2014

Barabara

Barabara Kuu ya Salina Cruz, Oaxaca; Nicolas Kahima Kankiriho (‘Kahima the Warrior’) alipopigwa risasi na kukamatwa, alfajiri ya Alhamisi ya tarehe tano, mwezi wa kumi na moja, mwaka 1992.

http://www.enockmaregesi.com

1 comment:

  1. Panthera tigrisi ni 'shetani' kabisa, yeye na wenzake, ndiyo maana anapenda kutumia sehemu kama hizo! Halafu hapo ndipo Kahima, mlinzi wa Panthera Tigrisi, alipokimbilia bila kupenda baada ya kukurupushwa na Vijana wa Tume na Polisi wa Oaxaca kutokea baharini!

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...