Monday, 30 June 2014

Nchi

91. Kati ya nchi yako na serikali yako ni kitu gani unakipenda zaidi? Ipende zaidi nchi yako, kuliko serikali yako!

http://www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Ukiipenda sana nchi yako ni rahisi sana kuichukia serikali yake!

    ReplyDelete
  2. Ukisema unaipenda serikali yako maana yake ni kwamba unayapenda mema na mabaya yote yanayofanywa na serikali hiyo.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...