Friday, 27 June 2014

Tunis

Makao Makuu ya Kanda ya Afrika ya Kaskazini ya Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya WODEC-TUNIS; yenye jumla ya nchi thelathini na moja za kaskazini na magharibi mwa bara la Afrika, kuanzia Eritirea mpaka Nijeria mpaka Tunisia – isipokuwa Moroko, ambayo iko katika kanda ya Ulaya.

http://www.enockmaregesi.com

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...