90. Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama
raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama za
utandawazi. Sina lazima ya kutoka nje kufanya utafiti wa kazi zangu siku hizi.
Nje ninayo hapa ndani!
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Heroini, Heroini safi isiyokuwa na doa. Biashara kuu ya pili ya Kolonia Santita baada ya kokeini, iliyomfanya Panthera Tigrisi awe taji...

Falsafa ya Hatutakiwi ilihamasishwa na Radia Hosni Ja'far-Saadiq Moustafa El Hadrioui – mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Tunisia! Falsafa hii inapatikana katika ukurasa wa 345 wa Kolonia Santita.
ReplyDeleteFalsafa ya Hatutakiwi ni jibu kwa wale wote waliouliza kama Enock Maregesi aliwahi kufika Tunisia, Meksiko, Urusi, Uingereza, Denmaki – na nchi zote zilizotumika katika kitabu cha Kolonia Santita.
ReplyDelete