Monday, 23 June 2014

Hatutakiwi

90. Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama za utandawazi. Sina lazima ya kutoka nje kufanya utafiti wa kazi zangu siku hizi. Nje ninayo hapa ndani!

http://www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Falsafa ya Hatutakiwi ilihamasishwa na Radia Hosni Ja'far-Saadiq Moustafa El Hadrioui – mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Tunisia! Falsafa hii inapatikana katika ukurasa wa 345 wa Kolonia Santita.

    ReplyDelete
  2. Falsafa ya Hatutakiwi ni jibu kwa wale wote waliouliza kama Enock Maregesi aliwahi kufika Tunisia, Meksiko, Urusi, Uingereza, Denmaki – na nchi zote zilizotumika katika kitabu cha Kolonia Santita.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...