90. Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama
raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki cha zama za
utandawazi. Sina lazima ya kutoka nje kufanya utafiti wa kazi zangu siku hizi.
Nje ninayo hapa ndani!
http://www.facebook.com/koloniasantita

Falsafa ya Hatutakiwi ilihamasishwa na Radia Hosni Ja'far-Saadiq Moustafa El Hadrioui – mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Tunisia! Falsafa hii inapatikana katika ukurasa wa 345 wa Kolonia Santita.
ReplyDeleteFalsafa ya Hatutakiwi ni jibu kwa wale wote waliouliza kama Enock Maregesi aliwahi kufika Tunisia, Meksiko, Urusi, Uingereza, Denmaki – na nchi zote zilizotumika katika kitabu cha Kolonia Santita.
ReplyDelete