Friday, 30 May 2014

Silver Sands

Kitendawili cha kwanza katika kitabu cha KOLONIA SANTITA – kinachotabiri matukio makubwa ya mwisho ya hadithi ya KOLONIA SANTITA – kilifanyika katika Barabara ya Ghana na Hoteli ya Silver Sands mjini Dar es Salaam; kwenye Ufuko wa Bahari wa Kunduchi, kilometa ishirini na tano kutoka Dar es Salaam, kama unaelekea Bagamoyo.

http://www.enockmaregesi.com

1 comment:

  1. Kusema kweli hicho ni kitendawili kikubwa..kwan hata Sophia na Johanna hakujua nini Murphy na wenzake walikua wakipanga kufanya.Ni kitendawili hata kwa wasomaji pia

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...