Monday, 2 June 2014

Maendeleo

87. Maendeleo ya mtu yatatokana na juhudi za mtu mwenyewe.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Wahenga walisema, "Mtegemea cha nduguye hufa maskini".

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...