Miwani ya kipelelezi aina ya Aviator (MicroSD, 32GB, GLSun720P) – iliyotumiwa
na makachero wa kike wa Kolonia Santita Giovanna Garcia, Delfina Moore, Amalia
Gonzalez, Mandi Santana na Kamanda wa Makachero wa Kolonia Santita Sonia
Padilla; kuwapeleleza Vijana wa Tume wa Executive Action Corps John Murphy,
Radia Hosni, Daniel Yehuda na Frederik Mogens; Oktoba, 1992.
http://www.enockmaregesi.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
44. Kama mwanadamu una haki ya msingi kuwa na amani katika maisha. http//www.facebook.com/koloniasantita

kwa mtu wa kawaida sio rahisi kugundua kuwa hayo mawani ni ya kipelelezi,na ndio mana makamishina wote wa tume hawakuwagundua makachero wa kolonia santita
ReplyDelete