86. Kuwa mwangalifu unapoongea na watu. Huwajui!
http://www.facebook.com/enockmaregesi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
Uwanja wa Ndege wa Copenhagen-Roskilde: uliotumiwa na Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa pamoja – kilometa tisa kutoka katika Kanisa ...
Neno moja kutoka mdomoni mwako linaweza kukuletea madhara makubwa. Waweza kusema kitu ukadhani umepatia kumbe umeharibu. Fikiria kwanza maana ya kitu unachosema, halafu sema.
ReplyDeleteFalsafa ya Mwangalifu inapatikana katika ukurasa wa 7 wa Kolonia Santita na inamhusu moja kwa moja Kamishna wa Kanda ya Afrika ya Kusini ya Tume ya Dunia Profesa Justin Mafuru. Mafuru, akiwa ndani ya ndege ya KLM kutokea Amsterdam kuelekea Copenhagen, alikaa pembeni ya Binti wa Miami Giovanna Garcia bila kujua kama binti huyo alikuwa jambazi wa kutupwa wa Kolonia Santita. Endapo Mafuru angesisitiza kuongea na Garcia kinyume na wosia wa mke wake Leah, aliyemsihi awe makini na watu hasa watu asiowajua, Kolonia Santita wangepata nafasi ya kumjua mapema na vizuri zaidi; hivyo kuathiri vibaya operesheni ya Tume ya Dunia ya Devil Cross.
ReplyDelete