Thursday, 22 May 2014

Red Square

Kama Kitay Gorod ni kitovu cha biashara cha Moscow ya kale, Red Square ni kitovu cha biashara cha Moscow ya leo. Mbali na Ikulu ya Urusi (The Kremlin), Red Square ndipo yalipo Makao Makuu ya Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya Nchini Urusi (WODEC-Moscow).

http://www.enockmaregesi.com

1 comment:

  1. Murphy alikatisha hapo kwa miguu wakati akienda kwenye osifi ya tume ya duniahuku majambazi wa cs-moscow wakimfuatilia

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...