Thursday, 21 November 2013

Sophie Amalie

Sophie Amalie Hotel,
Chumba cha John Murphy katika Hoteli ya Sophie Amalie jijini Copenhagen, Sankt Annæ Plads, John Murphy alipofikia badala ya Astoria (hoteli) ambapo magaidi wa Kolonia Santita wangemmaliza.

http://www.enockmaregesi.com

3 comments:

  1. Sophie Amalie Hotel ni hoteli ya kisasa ya kimataifa yenye hadhi ya nyota nne daraja la kwanza iliyoko jirani na Kasri la Kifalme la Amalienborg, kumbukumbu ya malkia wa karne ya kumi na saba wa Denmaki Malkia Sophie Amalie. Murphy alikaa Sophie Amalie Hotel chumba namba 117 kwa dakika 45 – kabla ya kutuma watu baadaye kwenda kuchukua mizigo yake na kuipeleka Makao Makuu ya Tume ya Dunia Vesterbrogade – kabla ya kuhamia Hellerup (kaskazini ya Copenhagen Mjini, au ‘Indre By’) katika nyumba ya siri ya mpelelezi wa Tume ya Dunia Frederik Mogens kutoka Denmaki.

    ReplyDelete
  2. Sophie Amalie ni hoteli yenye umri wa zaidi ya miaka 300 lakini bado inadai na murphy aliichagua hiyo kwa sababu ya mchumba wake Sophia Kaswiga

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...