Monday, 18 November 2013

Shida

59. Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima.

http://www.facebook.com/koloniasantita

3 comments:

  1. Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida maana shida ni kipimo cha akili, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima maana hekima ni ufunguo wa maamuzi mema na udadisi wa kiakili.

    ReplyDelete
  2. Ukiwa na udadisi wa kiakili (‘intellectual curiosity’) utasoma kila kitu na kupitia udadisi huo utapata maarifa na hekima. Lakini ukiwa na shida utapata akili.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...