Sophie Amalie Hotel,
Chumba cha John Murphy katika Hoteli ya Sophie Amalie
jijini Copenhagen, Sankt Annæ Plads, John Murphy alipofikia badala ya Astoria
(hoteli) ambapo magaidi wa Kolonia Santita wangemmaliza.
http://www.enockmaregesi.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
Uwanja wa Ndege wa Copenhagen-Roskilde: uliotumiwa na Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa pamoja – kilometa tisa kutoka katika Kanisa ...
Sophie Amalie Hotel ni hoteli ya kisasa ya kimataifa yenye hadhi ya nyota nne daraja la kwanza iliyoko jirani na Kasri la Kifalme la Amalienborg, kumbukumbu ya malkia wa karne ya kumi na saba wa Denmaki Malkia Sophie Amalie. Murphy alikaa Sophie Amalie Hotel chumba namba 117 kwa dakika 45 – kabla ya kutuma watu baadaye kwenda kuchukua mizigo yake na kuipeleka Makao Makuu ya Tume ya Dunia Vesterbrogade – kabla ya kuhamia Hellerup (kaskazini ya Copenhagen Mjini, au ‘Indre By’) katika nyumba ya siri ya mpelelezi wa Tume ya Dunia Frederik Mogens kutoka Denmaki.
ReplyDeleteI like it!
ReplyDeleteSophie Amalie ni hoteli yenye umri wa zaidi ya miaka 300 lakini bado inadai na murphy aliichagua hiyo kwa sababu ya mchumba wake Sophia Kaswiga
ReplyDelete