Monday, 25 November 2013

Siku

60. Siku ya kuzaliwa ni siku ya kwanza ya safari nyingine ya siku 365, masaa 5, dakika 48, sekunde 46 na maili milioni 600 kulizunguka jua. Safiri salama.

2 comments:

  1. Siku ya kuzaliwa ni siku ya kwanza ya safari nyingine ya siku 365.5.48.46 na maili M600 [takriban kilometa 100,000 kwa saa] kulizunguka jua ... Safiri salama.

    ReplyDelete
  2. Sayari ya Dunia hujizungusha mara 366.26 kwenye mhimili wake kwa mwendo wa kilometa 1675 kwa saa kwa mwaka mzima, huku ikisafiri umbali wa maili milioni 600 kulizunguka jua.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...