Monday, 2 September 2013

Halafa

48. Halafa hailipi.

http//www.facebook.com/koloniasantita

4 comments:

  1. Halafa (uhalifu) hailipi. Utakamatwa. Siku za mwizi ni arobaini, wahenga walisema. Katika nchi zilizoendelea kwa mfano Uingereza, matukio ya kipolisi hupewa kipaumbele kikubwa katika vyombo vya habari kwa makusudi; ili kuwakumbusha watu kwamba, halafa hailipi!

    ReplyDelete
  2. ukifanya uhalifu unaweza kukamatwa hata baada ya miaka arobaini

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...