Thursday, 29 August 2013

Bangi

Bangi,
Biashara kuu ya nne ya Kolonia Santita na kongwe kuliko zote katika mabara ya Americas – Amerika ya Kusini na Kaskazini – iliyosababisha vita (pamoja na kokeini, methi na uyoga wa kichawi) kuu, baina ya Kolonia Santita na Tume ya Dunia katika mpaka wa San Ysidro.

http://www.enockmaregesi.com

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...