48. Halafa hailipi.
http//www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
120. Wakati mwingine tukitaka kutambulika hatuna budi kuweka mbele aibu ya heshima yetu. http://www.enockmaregesi.wordpress.com

Halafa (uhalifu) hailipi. Utakamatwa. Siku za mwizi ni arobaini, wahenga walisema. Katika nchi zilizoendelea kwa mfano Uingereza, matukio ya kipolisi hupewa kipaumbele kikubwa katika vyombo vya habari kwa makusudi; ili kuwakumbusha watu kwamba, halafa hailipi!
ReplyDeleteUhalifu ni adui wa utu!
ReplyDeleteCrime does not pay!
ReplyDeleteukifanya uhalifu unaweza kukamatwa hata baada ya miaka arobaini
ReplyDelete