Friday, 6 September 2013

Uyoga

Uyoga wa Kichawi,
Uyoga wa Kichawi ni madawa ya kulevya yenye alkaloidi za kiindole, yaliyoanza kutumika katika kipindi cha kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo Mwana wa Mungu (miaka 9,000 Kabla ya Yesu Kristo), yaliyokuwa yakitumika katika matambiko ya kifalme na kidini hata kabla ya kuandikwa kwa historia, yanayosababisha furaha iliyochanganyikana na uwendawazimu.


http://www.enockmaregesi.com





2 comments:

  1. Hivi, uyoga wa kichawi na uyoga wa kawaida tofauti yake nini, watu wanaweza kutumia uyoga wan kichawi wakidhani ni uyoga wa kawaida.... pls?

    ReplyDelete
  2. Uyoga wa kichawi ni adimu sana kupatikana lakin unaweza kuununua kwenye intaneti

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...