49. Kuna tofauti kati ya hekima na maarifa. Unaweza kuwa profesa ukawa mpumbavu, unaweza kuwa gumbaru ukawa na hekima.
http/www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

Hekima ni sifa ya kuwa na maarifa na uzoefu na maamuzi mazuri; sifa ya kuwa na busara. Maarifa ni taarifa na ukweli na ujuzi aupatao mtu kupitia elimu au uzoefu; uelewa wa kivitendo au kinadharia wa kitu fulani. Profesa ni mtu aliyesoma sana. Gumbaru ni mtu asiyejua kusoma au kuandika.
ReplyDeleteFalsafa ya Maarifa ni kwa watu wote kuanzia gumbaru mpaka ngazi ya stashahada, na wasomi wote kuanzia shahada mpaka ngazi ya uprofesa. Mpumbavu ni mtu anayefanya kitu cha kijinga akijua ni ujinga.
Hekima ndio msingi wa maarifa yote.
ReplyDelete