Calle Gante, Cuauhtémoc, Distrito Federal, Mexico City
Nyumba ya Siri ya Vijana wa Tume wa Operation DC
Makazi ya muda ya Vijana wa Tume na makazi ya kudumu ya Jeshi la Meksiko
('Fuerza Aérea Mexicana')
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mercury Cougar ya John Murphy aliyonunua mwaka 1990 kwa gharama kubwa huko Michigan nchini Marekani. Gari hilo lililorekebishwa kwa ajili ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Siku ya kuzaliwa ni siku ya kwanza ya safari nyingine ya siku 365, saa 5, dakika 48, sekunde 46 na maili milioni 600 kulizunguka jua. Safi...
Calle Gante (Mtaa wa Gante), Cuauhtémoc ('kwauteimak'), Mexico City: ndipo Vijana wa Tume walipofikia kutokea Uwanja wa Ndege wa Guadalajara … wakiwa na magari matatu makubwa, SUV, ya WODEC-Intelligence, na gari la wagonjwa la Jeshi la Anga la Meksiko (FAM – 'Fuerza Aérea Mexicana'). Nyumba ya Vijana wa Tume ('safe house'; miongoni mwa nyumba nne sehemu mbalimbali za Mexico City) namba 1081 – iliyokuwa na vyumba vinne vya kulala, mabafu sita, chumba cha silaha, chumba cha mazoezi, jiko, sebule, bwawa la kuogelea, na ukuta mrefu mweupe kuzunguka nyumba nzima – ilikuwa kubwa ya ghorofa mbili, mali ya Jeshi la Anga FAM.
ReplyDeleteNyumba ya siri ya Vijana wa Tume ilipaswa kuwa ya siri, lakini siku ya kwanza Murphy na Mogens walipoonana na Lisa Graciano – kwenye Baa ya Los Leones huko San Ángel – nyumba yao iligundulika, na Vijana wa Tume walikiona cha mtema kuni! Lisa ndiye aliyesababisha nyumba ya Vijana wa Tume kugundulika, na gari lao kupigwa kombora, licha ya gari lake kubadili historia ya Tume ya Dunia.